Friday, May 15, 2015

MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

01
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa, Bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
02
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akichangia bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.
03
Mbunge wa Viti Maalum, Mary Chatanda akichangia bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.
05
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akizungumza na Mkuu wa mkoa wa  Njombe, Dr. Rehema  Nchimbi (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia kwenye viwanja vya Bnge mjini Dodoma Mei 14, 2015

No comments:

KUSANYENI KODI NA MADENI BILA KUOGOPA MTU YEYOTE– WAZIRI AKWILAPO ASEMA AKIZINDUA BODI MPYA YA NHC

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Leonard Akwilapo, akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),...