Friday, May 15, 2015

DKT. MWAKYEMBE AFUNGUA KONGAMANO LA VYOMBO VYA HABARI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

3
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe akifungua kongamano la siku mbili  jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
1
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT), Kajubi Mukajanga (pichani)akiwashukuru washiriki wa kongamano la vyombo vya habari litakalofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam, kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki linalenga kutathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa afrika Mashariki.
2 
Katibu wa bunge la Afrika Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera akitoa neno la shukrani kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe kufungua kongamano la siku mbili linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki, kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 5
Mmoja wa wadau wa habari Dkt. Ayoub Rioba akichangia katika kongamano la siku mbili  jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
6
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Assah Mwambene akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa kongamano la siku mbili  jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
7
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akisikiliza kwa makini michango mbalimbali ya wadau wa habari wakati wa kongamano la siku mbili jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki, kushoto ni Katibu wa bunge la Afrika Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera na kulia.
4
Baadhi ya Mabalozi na wadau wa habari wakimfuatilia kwa makini Waziri wa Ushirikianno wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe wakati akifungua kongamano la siku mbili  jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
8
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe ( mwenye tai ya njano mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa habari wakati wa wa kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki, kushoto ni Katibu wa bunge la Afrika Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera na kulia.
Picha zote na Eliphace Marwa – MAELEZO

No comments: