Wednesday, April 01, 2015

MISAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MT,MERU

unnamed000
Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group ,Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha,Mt Meru,Sifael Masawe jana kikundi hicho kilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa hospitalini hapo,jumla ya mashuka 300 na maji katoni 10 zenye thamani ya zaidi ya sh,2 milioni zilikabidhiwa ,anayeshuhudia pembeni ni makamu mwenyekiti wa kikundi hicho,Jasmine Kiure.
picha na mahmoud ahmad)

No comments:

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA KATIKA KUMBUKIZI YA KUZALIWA BABA WA TAIFA HAYATI MWL. J.K NYERERE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa vijana kusimama imara na kulinda umoja, ...