Jukwaa la Wahariri nchini lakutana na Menejimenti ya NHC masuala mbalimbali ya Shirika na sekta ya nyumba yajadiliwa
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na Wahariri mbalimbali kutoka vyombo takribani vyote vya habari nchini kupitia chombo chao cha Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwenye mkutano ulioandaliwa na Shirika hilo na kufanyika hoteli ya Kunduchi Beach Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwafahamisha maendeleo ya miradi inayoendelea kujengwa pamoja na masuala mengine ya kiutendaji yanayowakabili. Kupitia mkutano huo masuala mbalimbali ya kitaifa kuhusiana na sekta nzima ya ujenzi pamoja na Shirika la Nyumba la Taifa yalijadiliwa.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) Absalom Kibanda (aliyeshika tama) akifuatilia mkutano huo kwa karibu
Wahariri mbalimbali kutoka vyombo takribani vyote vya habari nchini kupitia chombo chao cha Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi wakifuatilia mkutano huo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii, Susan Omari akifuatilia mkutano huo wa Wahariri mbalimbali kutoka vyombo takribani vyote vya habari nchini kupitia chombo chao cha Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF).
Jane Mihanji na Lilian Timbuka na Balinagwe wakifuatilia kwa kina .
Jamilla Abdallah, Saleh Mohammed na Maregesi Paul wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akitoa mada katika mkutano huo uliofanyika Jumamosi iliyopita.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na Wahariri mbalimbali kutoka vyombo takribani vyote vya habari nchini kupitia chombo chao cha Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
Yassin Sadick wa Hoja akitafakari jambo katika mkutano huo
Ichikael Maro na Eucland Mwaffisi wakifuatilia kwa kina.
Imma Mbughuni (kulia) na Samson Kamalamo waifuatilia mkutano huo
Saleh Ally, Paul Maregesi na Bakari Mchumu wakifuatilia kwa kina mkutano huo.
Mnaku Mbani wa Business Times, Tumma Abdallah wa Daily News na Denis Msacky wa Mtanzania wakifuatilia kwa kina mkutano huo.

Wahariri mbalimbali kutoka vyombo takribani vyote vya habari nchini kupitia chombo chao cha Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wakifuatilia mkutano huo.
Comments