Thursday, April 16, 2015

MAFUNZO YA MAFUTA NA GESI ASILIA CHINA-SMZ

01
Maafisa Waandamizi wa SMZ wakiwa katika viwanja vya Tiananmen Square Jijini Beijing China, wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Mhandisi Mwalim Ali Mwalim na aliyevaa tai ni Mhandisi wa Idara ya Nishati, Omar Saleh Mohamed na wengine mwenye traksuti ni Afisa Mdhamini WQizara ya Ardhi, Makaazi Maji  na Nishati Pemba, Mhandisi wa Miamba, Hemed Salim.
02 
Maafisa Waandamizi wa SMZ wakiwa viwanja vya Tiananmen Square wa mbele kabisa ni Mkurugenzi wa Usalama kazini, Mhandisi Suleiman Khamis kushoto ni Mwandishi wa habari  Juma Mohammed  na kulia ni Mhandisi wa Idara ya Nishati, Omar Saleh Mohamed.
04
( Wakurugenzi wa SMZ wakiteta jambo walipotembelea viwanja vya  Tiananmen Square Jijini Beijing China. Wakurugenzi hao ni miongoni mwa Maafisa 20 waandamizi wa  SMZ  wanaohudhuria mafunzo ya muda mfupi ya  mafuta na gesi asilia.  Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Mipango Sera na Utafiti, Salhina Ameir Mwita, anafuatia mwenye kamera ni Mkurugenzi wa Idara ya Nishati, Mohamed Abdalla Mohamed, mwengine ni Afisa Mdhamini Wizara ya Ardhi,Makaazi  Maji na Nishati Pemba, Hemed Salim na mwisho ni Mkurugenzi wa Usalama Kazini, Suleiman khamis  
(Picha na Al-Amin Omar)
03
Maafisa Waandamizi wa SMZ wakiwa katika viwanja vya Tiananmen Square Jijini Beijing China. Maafisa hao wanahudhuria mafunzo ya muda mfupi ya  mafuta na gesi asilia.

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...