NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKABIDHI PIKIPIKI 10 KWA MAAFISA AFYA WA WILAYA Posted by Vempin Media Tanzania on April 20, 2015 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (kushoto) akimkabidhi Pikipiki Afisa wa Afya wa Wilaya Nd. Khamis Daud Ali katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Maruhubi.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Mafisa wa Afya wa Wilaya wakiwa kwenye Pikipiki zao mara baada ya kukabidhiwa. Mafisa wa Afya wa Wilaya wakiwa kwenye Pikipiki zao mara baada ya kukabidhiwa. Comments
Comments