Monday, April 20, 2015

MAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO MKOANI MWANZA


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mwanza kwenye viwanja vya Furahisha jijini humo. (Picha na Said Powa)
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa ACT-Wazalendo.

1 comment:

Unknown said...

kaka zitto umetisha mwanza maana watu wengi kama viroboto!

RC CHALAMILA ATOA SIKU SABA KWA MUAFAKA WA MGOGORO WA ARDHI TOANGOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa muda wa siku saba kwa wadau wanaohusika na mgogoro wa muda mrefu wa ardhi katik...