Mchechu azindua kitabu cha "The 7 Habits of highly effective people" yaani tabia saba za watu wanaofaa zaidi jijini Dar
Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwa ameshika kitabu hicho baada ya kukizindua.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwa ameshika kitabu hicho baada ya kukizindua.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akisalimiana na watendaji wa NFT.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa NFT.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati akizindua kitabu cha "The 7 Habits of highly effective people" yaani tabia saba za watu wanaofaa zaidi kilichotafsiriwa na Bakita kwa ushirikiano na mojawapo ya makampuni makubwa yanayoshughulika na ushauri wa jinsi ya kuongeza ufanisi katika maeneo ya kazi, NFT Consult kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo. Mchechu alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.Kampuni hiyo ya kimataifa ambayo imeingia nchini mwaka 2010 ikiwa na matawi Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini na imechukua hatua ya kutafsiri kitabu hicho ili kiweze kueleweka na wananchi walio wengi zaidi ili kuweza kusabaza mafanikio
Washiriki ambao wengi wao ni maofisa rasilimali watu na watoa mafunzo kutoka makampuni mbalimbali nchini wakifuatilia uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati akizindua kitabu cha "The 7 Habits of highly effective people" yaani tabia saba za watu wanaofaa zaidi kilichotafsiriwa na Bakita kwa ushirikiano na mojawapo ya makampuni makubwa yanayoshughulika na ushauri wa jinsi ya kuongeza ufanisi katika maeneo ya kazi, NFT Consult kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo. Mchechu alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.
Pichani juu na chini ni Ofisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya NFT Consult, Badru Ntege (Katikati) akiwa na mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakifuatilia hafla hiyo.
Barbie Kabae wa EATV akizungumza katika hafla hiyo
Kikundi cha burdani cha sanaa cha THT wakiburudisha katika hafla hiyo.
Kikundi cha burdani cha sanaa cha THT wakiburudisha katika hafla hiyo.
Comments