Wednesday, April 29, 2015

RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA

1
2Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika(OAU) marehemu  Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam leo.
2
34Rais Kikwete akiifariji familia ya Marehemu muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho.
(picha na Freddy Maro)

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...