Thursday, April 23, 2015

WARSHA YA MPANGO KAZI YA MAADILIKO YA TABIANCHI YAFANYIKA DAR ES SALAAM

1
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akifungua Warsha ya kukamilisha Mpango kazi wa kuhuhisha masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi katika maeneo ya Pwani ya Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku mbili inafanyika katika Hotel ya Stella Maris, Bagamoyo na inahusisha wadau kutoka Vyuo Vikuu, wadau wa maendeleo na Manispaa za
Dar es Salaam.
5
Mratibu wa Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi katika maeneo ya pwani ya Dar es Salaam Mhandisi Ladislaus Kyaruzi (kulia) akifuatilia hotuba ya ufunguzi kutoka kwa Mgeni Rasmi (hayupo pichani). Kushoto ni Afisa Mazingira Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Patrick Ndaki
  3
Washiriki wakiwa katika vikundi wakipitia na kurekebisha Mpango kazi.
4
2
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Angelina Madete akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu waliohudhuria Warsha katika Hotel ya Stella Maris, Bagamoyo.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...