Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza wakati alipokutana na wafanyabiashara katika viwanja vya Kili Homes mjini Moshi kuzungumzia kero mbalimbali zinazowakabili pamoja na kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazo wakabili.kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga.
Baadhi ya wafanyabiashara wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro katika mkutano huo.
Mjumbe wa kamati maalumu ya kuratibu kero za Biashara mkoa wa Kilimanjaro Patrick Boisafi akisoma kero zilizoratibiwa mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama.
Baadhi ya wafanyabiashara.
Katibu wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania ,tawi la Kilimanjaro,Mmasi Sambuo akisoma kero mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara Kilimanjaro mbele ya mkuu wa mkoa.
Wafanyabiashara wakifuatilia mkutano huo.
Add caption
Comments