Chuo Kikuu leo



Mazingira ya Chuo kikuu leo hapa ni maeneo ya pale utawala wadau mnasemaje.

Comments

Mazingira yanapendeza sana.Huwa mara nyingi nilipokuwa nafika kilimani hapo najihisi kama sipo Dasalama kwa kile kibariiidi kizuri.
sizinga said…
napapenda kweli hapo pahala
Panapendeza sana. Nakumbuka zamani kulikuwa na nyoka na ngedere kibao hapo. Hiyo bonde ilikuwa na Chatu pia.