Watoto na kilimo Posted by Vempin Media Tanzania on October 03, 2007 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps hebu cheki watoto hawa walivyo bize na kilimo, halafu unambie kuwa eti hawa watavuna cha kutosha kulisha wananchi wote, hivi kweli jamani tutafika wakati kilimo ndo kinachangia asilimia zaidi ya 75 ya ajira za wabongo. Comments
Comments