Na Muhibu Said wa Mwananchi
MVUTANO wa bei ya korosho, mkoani Mtwara, umechukua sura mpya, baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni wakulima katika Wilaya ya Tandahimba, kuichoma moto nyumba ya Mbunge wa Jimbo hilo, Juma Njwayo, wakipinga kuuza zao hilo kwa mkopo.
Vilevile watu hao wameripotiwa kukata mikorosho kadhaa, ikiwamo mikorosho zaidi ya 25 inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima Tandahimba (TAFA), Adinani Mbwana.
Mbali na hujuma hizo, watu hao pia wameripotiwa kuchinja mifugo mbalimbali ikiwamo bata, kuku na mbuzi wa dereva wa mkuu wa wilaya na kufunga kwa kufuli maghala yote ya vyama vya msingi vya ushirika wilayani humo yanayotumika kuhifadhi na kuuzia korosho.
Habari kutoka Tandahimba zilizothibitishwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Miti Francis, zinaeleza kuwa hujuma hizo zimefanyika siku chache baada ya wakulima wa zao hilo kufanya maandamano makubwa hivi karibuni kupinga suala hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Prof. Mfaransa Aja na Kitabu: Aiambia Dunia Kutalii Tanzania ni Tiba
Na Mwandishi Wetu Paris, Ufaransa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, akiwa nchini Ufaransa jana Julai 8, 2025 amek...

-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquil...
1 comment:
Muy buena entrada!!!
Me gustó el artículo que posteaste.
Ya que pasaba te invito a conocer el sitio sobre motos modificadas que hicimos con unos amigos:
http://www.Tuneadas.com
Espero que te pases! Besos!
Moto tuning http://www.Tuneadas.com motos modificadas motos tuning tuning de motos motocicletas tuneadas foros noticias tuning cómo tunear tu moto consejos moto tuning accesorios tuning y más.
Post a Comment