Monday, October 01, 2007

Air Tanzania

Mkurugenzi Mkuu wa ATCL, David Mataka ambaye amewezesha mabadiliko ya ATCL.

Dege lilikuwa hivi.

Sasa madege yote yatakuwa hivi.

2 comments:

Anonymous said...

naona wabongo wameanza kujajaruka na hawa wezi (investors) subirini sasa shirika la reli baada ya miaka 5 litakua kama atc halafu serikali itabidi lilichikue back na madeni kibao

Anonymous said...

ni kweli mzee inaonekana tumekuwa tukigawagawa tu mali zetu, haki ya nani tutajuta, dhahabu zimeondoka, almasi na kila kitu bado utu wetu tunaishi utumwani.

*MV NEW MWANZA YAZINDULIWA RASMI*

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezindua meli ya kisasa MV New Mwanza, akibainisha kuwa ni uwekezaji wa kimkakati wa Serikali katika kui...