Chuo Kikuu leo Posted by Vempin Media Tanzania on October 10, 2007 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mazingira ya Chuo kikuu leo hapa ni maeneo ya pale utawala wadau mnasemaje. Comments Egidio Ndabagoye said… Mazingira yanapendeza sana.Huwa mara nyingi nilipokuwa nafika kilimani hapo najihisi kama sipo Dasalama kwa kile kibariiidi kizuri. sizinga said… napapenda kweli hapo pahala Chemi Che-Mponda said… Panapendeza sana. Nakumbuka zamani kulikuwa na nyoka na ngedere kibao hapo. Hiyo bonde ilikuwa na Chatu pia.
Comments