Saturday, June 11, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUTARISHA

MKO1Waziri Mkuum Kassim  Majaliwa akisalimiana  na Katibu Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini ya mkoa wa Dar es salaam, Padri John Solomon wa Kanisa la Anglikani (kulia) na Mwenyekiti wa Kamati  hiyo, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam , AlhajiMussa Salum katika Futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Juni10, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MKO2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya waalikwa waliohudhuria futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jiji Dar es Salaam  10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MKO3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya waalikwa waliohudhuria futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jiji Dar es Salaam  10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MKO4Waziri Mkuu,  Mh Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya waalikwa walioshiriki katika futari  iliyoandaliwa na  Waziri Mkuu kwenye Makazi  yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MKO5Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na baadhi ya  waalikwa  wakishiriki katika  swala ya jioni kabla ya futari  iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi yake  jijini Dar esSalaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MKO6Mke wa Waziri Mkuu,  Mary  Majaliwa  akiwa na baadhi ya  waalikwa  katika  futari ilyoandaliwa na  Waziri Mkuu, kwenye makazi yake  jijini Dar es salaam  Juni 10, 2016.  Wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)
MKO7Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM akishiriki pamoja na waalikwa wengine katika futari hiyo iliyoandaliwa kwenye makazi ya Waziri mkuu.
MKO8Waziri Mkuu Kassim Majliwa akizungumza na waalikwa  katika futari  aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MKO9Waziri Mkuu Kassim Majliwa akisalimiana na  Bw. Seif Ali Seif  katika futari  aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MKO10Waziri Mkuu Kassim Majliwa akisalimiana na  Mh. Raymond Mushi Mkuu wa wilaya ya Ilala  katika futari  aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MKO11Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanawake walioshiriki katika futari aliyoiandaa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Juni 10, 2016. Kulia  kwake  ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAJ5Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya  ya Wazazi Tanzania , Abdallah Buelembo katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake  jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
MAJ1Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akisalimiana na Mke wa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Azalina Madabida katika futari aliyoiandaa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAJ2Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa (kushoto) akisalimiana na  Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema  katika futari aliyoiandaa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi yake jijini Dares Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAJ3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi  (kushoto) na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam , Simon Siro katika futari  aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAJ4Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamanda  wa Kanda Maalum  ya  Dar es salaam , Simon Siro  katika futari aliyoiandaa kwenye Makazi yake  jijini  Dar es salaam Juni 10, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: