Sunday, June 12, 2016

WANACHAMA WA YANGA WAPIGA KURA KUWACHAGUA VIONGOZI WAO JIJINI DAR LEO

 Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga, wakiwa tayari kwa kazi hiyo ya uchaguzi unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam.
 Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji akiandikishwa na Msimamizi wa Uchaguzi huo, unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam.
Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji akitumbukiza karatasi kwenye sanduku la kupigia kura, katika unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam.
 Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga, Hans van Pluijm nae ni Mmoja wa Wanachama wa Yanga wanaopiga kura leo kuchagua uongozi mpya wa Klabu hiyo.
Wanachama wakipiga kura.
 Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji akifurahia jambo na Mlezi wa timu ya Yanga,Mama Shadya Karume mapema leo ndani ya ukumbi wa Diamond kabla ya uchaguzi kufanyika
Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji   akisoma hotubayake fupi kupitia simu yake ya Kiganjani mbele ya mamia ya wanachama wa Klabu hiyo ya Yanga (hawapo pichani),mapema leo mchana kabla ya uchaguzi kufanyika
Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji  pichani kulia akiteta jambo na Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga, Hans van Pluijm  
 Baadhi ya Wanachama wakisubiri kupiga kura kuwachagua viongozi wao
Post a Comment