WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHITIMISHA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AN TUKUFU YA KIMATAIFA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016 kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaam 
 Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.

 Sehemu  ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery bin Ally baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa Juni 26, 2016. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhadi Mussa Salum.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na watoto wadogo kuliko wote walioshiriki katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.Watoto hao ni Abuzar Kholidi wa Tajikistan (Kulia) na Ahmad Abdullah Al-Azhar wa wa Bangladesh

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya wageni  kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016 kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaam .

Comments