Friday, June 10, 2016

DUKA LA VIFAA LA AZAM FC LAZINDULIWA LEO NDANI YA BOTI YA KILIMANJARO 6.

Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya Jezi za  Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililofungulia ndani yaboti ya Kilimanjaro 6 leo.
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba  akizungumza Michuz TV wakati wa uzinduzi wa duka la vifaa vya vya michezo pamoja na vitu mbalimbali vya Azam duka hilo limezinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.
Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya skafu na vitamaa vya  Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililozinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.

No comments:

MIRADI YA UCHUKUZI KUIFANYA KIGOMA KUWA KITOVU CHA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI NA KATI - PROF. MBARAWA

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutekeleza uwekezaji mkubwa katika sekta ya uchukuzi...