RAIS MAGUFULI AANDAA FUTARI YA PAMOJA YA VIONGOZI MBALIMBALI WA DINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika foleni na wageni wake kwenda kuchukua chakula wakati wa kufuturu katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Ndg. Ramadhani Madabida akifuatiwa na Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ na wagemi wengine wakipakua chakula katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 .Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na kaimu Mufti Sheikh Hamid Masoud Jongo baada ya kuongea machache katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni mbalimbali katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Shamim Khan katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016. Kushoto ni Mke wa rais Mama Janeth Magufuli akifuatiwa na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaliminia na wageni waliohudhuria futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaliminia na wageni waliohudhuria futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaliminia na wageni waliohudhuria futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016 
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikatika picha ya pamoja na wageni waliohudhuria futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016.

Comments