Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakibeba vyakula wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation, walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
PICHA NA MPIGAPICHA WETU
Meneja wa Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kushoto) akigawa vyakula kwa wanawake waislamu, wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation,walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Wakazi wa Bagamoyo, Mohamed Ammer Maki (kulia) akifurahia msaada wa vyakula, wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation, walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Comments