Friday, February 05, 2016

MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

5
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula kwenye  jengo la Utalwala la Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016.
6
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Longido, Onesmo Ole- Nangole kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016.
7
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Simanjiro , James Ole Millya (kulia)kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016. Katikati ni Mbunge wa longido, Onesmo Ole Nangole.
8
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), Patrobas katambi (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016.
9
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari  kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment