Thursday, August 06, 2026

🇹🇿🇺🇬 DIPLOMASIA NA USHIRIKIANO WA TANZANIA–UGANDA WAZIDI KUIMARIKA







Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo, tarehe 06 Agosti 2026, na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ziara hiyo inaakisi kuendelea kuimarika kwa uhusiano wa kihistoria na ushirikiano kati ya Tanzania na Uganda, hususan katika maeneo ya diplomasia, biashara, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi kwa manufaa ya wananchi wa mataifa hayo mawili.

#Tanzania #Uganda #Diplomasia #Ushirikiano

No comments:

🇹🇿🇺🇬 DIPLOMASIA NA USHIRIKIANO WA TANZANIA–UGANDA WAZIDI KUIMARIKA

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo, tarehe 06 Agosti 2026, ...