Tuesday, August 18, 2015

WAZIRI HAWA GHASIA AZINDUA MAFUNZO YA MADEREVA WA MABASI YA MWENDO WA HARAKA DAR ES SALAAM

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika  Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam jana asubuhi. Kulia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akijaribu kuendesha moja ya basi la mwendo wa haraka wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika  Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam
 Babasi ya wendo wa haraka yaliyoingia nchini kutoka nchini China,
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (katikati), akizungumza katika uzinduzi huo.
Wadau mbalimbali na wanahabari wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Post a Comment