Tuesday, August 18, 2015

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU AMANDUS MDEMU WA NHC

Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi cha Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Hamis Mpinda akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, kwenye mazishi ya aliyekuwa Intern wa Kitengo cha Manunuzi Makao Makuu, Amandus Mdemu kilichotokea juzi Agosti 16, 2015 jijini Dar es Salaam na mazishi kufanyika leo Kilosa, Morogoro. 
 Mama wa Marehemu Amandus akimwaga udongo kaburi mwa mwanaye Amandus.
Baba wa Marehemu Amandus akielekea kaburini kumimina udongo kama ishara ya kumzika mwanaye.
Kiongozi wa dini akiendesha misa ya wafu katika shughuli hiyo iliyofanyika Kilosa mjini kwenye mtaa wa Behewa.
 Wafanyakazi wenzake wakitoa salamu za mwisho kwa mwili wa marehemu Amandus mtaa wa Behewa, Kilosa Mororgoro leo.
 Veronica Mtemi akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa Marehemu Amandus
 Waombolezaji wakifuatilia misa ya wafu msibani hapo leo mchana.
Kiongozi wa dini akiendesha misa ya wafu katika shughuli hiyo iliyofanyika Kilosa mjini kwenye mtaa wa Behewa.

 Waombolezaji

  Waombolezaji wakifuatilia misa ya wafu msibani hapo leo mchana.

  Waombolezaji wakifuatilia misa ya wafu msibani hapo leo mchana.

 Waombolezaji wakifuatilia misa ya wafu msibani hapo leo mchana.

Post a Comment