Monday, August 10, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA TAWI LA BENKI KUU MTWARA

unnamed (48)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Benki Kuu mjini Mtwara jana jioni. Kushoto ni Gavana wa Benki Kuu Dkt. Benno Ndulu na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Bwana Mwigulu Nchemba (picha na Freddy Maro)
unnamed (49)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Benki Kuu mjini Mtwara jana jioni.Kushoto ni Gavana wa Benki Kuu Dkt.Benno Ndulu na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Bwana Mwigulu Nchemba(picha na Freddy Maro)
 

No comments:

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao mu...