Friday, August 07, 2015

Maandalizi ya ufunguzi wa Nyumba za Gharama Nafuu NHC Mtanda, Lindi

 Timu ya Shirika la Nyumba la Taifa ikiwa katika maandalizi ya ufunguzi wa Nyumba za Shirika hilo za gharama nafuu za Mtanda Mkoani Lindi ambao unafanyika baadaye leo hii na Rais Jakaya Mrisho Kikwete anayetarajiwa kuwasili muda wowote kuanzia sasa.
Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za Mtanda Mkoani Lindi ambayo itazinduliwa baadaye leo hii na Rais Jakaya Mrisho Kikwete anayetarajiwa kuwasili muda wowote kuanzia sasa.
 Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za Mtanda Mkoani Lindi ambayo itazinduliwa baadaye leo hii na Rais Jakaya Mrisho Kikwete anayetarajiwa kuwasili muda wowote kuanzia sasa.
 Eneo la kukaa wageni waalikwa
Ndani ya nyumba ya mfano itakayozinduliwa baadaye.

No comments:

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA TANGA BAADA YA KUKAGUA MABORESHO YA GATI MPYA

TANGA, 01 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amekamilisha ziara yake ya kikazi mkoani ...