Sunday, August 02, 2015

BAADA YA KUKATWA KURA ZA MAONI CCM DKT. MAKONGORO MAHANGA ATIMKIA CHADEMA

Makongoro MahangaMh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Segerea Mwisho leo.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ametangaza rasmi kuihama CCM kutokana na kutokuwepo demokrasia ya lweli ndani ya CCM.
Amesema anafanya mazungumzo na Edward Lowassa pamoja na CHADEMA ili aweze kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

No comments:

MIAKA 99 YA JESHI LA CHINA IWE CHACHU CHA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA ULINZI NA TANZANIA- DKT RHIMO NYANSAHO

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Chin...