Saturday, May 09, 2015

JUMUIYA YA VIJANA WASIO NA AJIRA YAZINDULIWA ZANZIBAR

ju1 

Mratibu wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania Nd. Ussi Said Suleiman akitoa maelezo kwa Baadhi ya Vijana wasio na ajira waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Water front Hall Rahaleo Mjini Zanzibar. ju2 
Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya mpya ya Vijana wasio na ajira Tanzania, wakimsikiliza Mratibu wa Jumuiya hiyo Nd. Ussi Said Suleiman (hayupo pichani).
 ju3 
Mmoja wa Vijana wasio na ajira Zaituni Haji Mdigo  akiuliza swali katika Mkutano huo.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments:

PROF. SHEMDOE AWAASA WANAFUNZI KUENDELEZA VIPAJI VYAO VYA MICHEZO, SANAA

• Awataka kuwa na nidhamu na kusoma kwa bidii Na OWM - TAMISEMI, Iringa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali ...