Saturday, May 09, 2015

Katibu Mkuu Kiongozi akisoma taarifa mbili ya Maswi kuhusika katika sakata la Escrow na ile ya Operesheni tokomeza

om1 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia niMwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais Bi. Premi Kibanga.Picha zote na Eliphace Marwa – MAELEZO om2 
Baadhi ya waandishi wa habari wakimfuatilia kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza.
om3 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza mapema hii leo jijini Dar es Salaam , kulia ni Mwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais Bi. Premi Kibanga.

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA PANGANI, AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI TANGA

PANGANI, TANGA – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Februari 26, 2025, amezungumza na wananc...