Mwanamasumbwi Floyd Mayweather Jr. amemshinda kwa pointi mpinzani wake Mfilipino Manny Pacquiao katika pambano la ngumi la kimataifa na kuchukua mkanda wa dunia wa WBC kwenye pambano uliofanyika kwenye ukumbi wa MGM Grand nchini Marekani alfajiri ya kuamkia leo pata matukio zaidi ya picha kwa kuperuzi hapa (PICHA KWA HISANI YA MTANDAO WA http://www.telegraph.co.uk)
No comments:
Post a Comment