Monday, April 13, 2015

ZITTO AHUTUBIA WAKAZI WA IRINGA MJINI

001
Kiongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wakazi wa mji wa Iringa na Vitongoji vyake jana, ambapo ameibua ufisadi wa Sh.54 Trillioni kwenye ujenzi wa bandari ya Mwambani Mkoani Tanga.
Picha na Mpigapicha Wetu.  

No comments:

RAIS SAMIA APONGEZA MPANGO WA HEIDELBERG MATERIALS KUPANUA UWEKEZAJI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea ujumbe wa Kampuni ya Heidelberg Materials, wazalishaj...