Monday, April 13, 2015

YANGA YAENDELEZA MAJANGA KWA WAPINZANI, SAFARI HII NI MBEYA CITY

Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeshinda mchezo huo kwa Bao 3 – 1. Ushindi ambao unazidi kuiweka kileleni na kutwaa Ubingwa wa msimu huu.PICHA NA (OTHMAN MICHUZI WA MTAA KWA MTAA BLOG)
 Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatika Mabeki wa Timu ya Mbeya City wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga inaongoza Bao 3 – 1.
 Kipa wa Timu ya Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiangalia mpira wavuni huku washabiki wa Yanga wakishangilia ushindi.

No comments:

🔴🔴TABORA ZOO YAENDELEA KUNG'ARA KAMA KITOVU CHA ELIMU, BURUDANI NA UTALII WA NDANI

Na Mwandishi wetu, Tabora. Bustani ya Wanyamapori Tabora (Tabora Zoo) imeendelea kujipambanua kama kivutio muhimu cha elimu na burudani jiji...