Thursday, December 18, 2014

ZIARA YA MH. WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA DUBAI

unnamed
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi  Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini, Devota Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza katika Mkutano wa Kuitangaza Tanzania na kuvutia wawekezaji wa Dubai  uliofunguliwa na Waziri Mkuu mjini Dubai Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamed2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Meneja Mkuu wa Shamba la kufuga ng’ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia kwake) kukagua shamba hilo akiwa katika ziara ya kikazi nhini humo Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...