Shirika la Nyumba la Taifa lachangia fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga

unnamed1

 Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda akisikiliza ahadi ya mchango kutoka meza ya Washiriki kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)wa hafla hiyo ya chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kilichoandaliwa na wanachama waj Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014 .  

Waziri Mkuu Mizengo Peter Pinda akijadiliana jambo na   na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC, Nehemia Kyando Mchechu kwenye hafla hiyo ya chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kilichoandaliwa na wanachama waj Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014 .  
unnamed2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katka picha ya pamoja na washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na  Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014.  Chakula hicho  kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha  kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.unnamed4Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katka picha ya pamoja na washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na  Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014.  Chakula hicho  kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha  kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.unnamed5 Baadhi ya  washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na  Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014 wakijitambulisha baada ya onyesho hilo.  Chakula hicho  kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha  kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.

Comments