Friday, December 26, 2014

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo Atembelea na Kumpa Pole Rais Jakaya Kikwete IKULU Jijini Dar es Salaam

 Rais Kikwete akimsindikiza Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia na kumpa pole hali Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne Desemba 23, 2014.
Rais Jakaya Kikwete akimlaki Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne Desemba 23, 2014.
 Rais Kikwete akiongea na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.

No comments:

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya mazungumzo na  Fitch Ratings Ltd  amb...