Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Ahudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi Zanzibar

 
  Ibada ikiendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar,ambapo Mh.Lowassa na familia yake walihudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi jana.
 
 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya SIkukuu ya Krismasi jana.
  Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi jana.
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Regina (kulia) akiwasalimia waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi jana.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi jana. Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Philip Mvungi.

Comments