Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai aagana na Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walipomtembelea ofisini kwake kumuaga.
Maafisa hawa ni kati ta timu imara iliyofanikisha ziara ya kikazi ya Mh. Waziri Mkuu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...
No comments:
Post a Comment