JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WUHAN (WUTASA) YAWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA

unnamedJumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania Wuhan (WUTASA) iliandaa  sherehe ya kuwakaribisha wanafuzi wapya Watanzania  Wuhan, China. (Mdau Abdul Saiboko alikuwa ni mmoja wa wanafunzi hao ambaye ndiye aliyetumuvuzishia matukio haya yanayoonyesha jinsi sherehe ilivyofana Wuhan nchini China kama wanavyoonekana baadhi ya wanafunzi wapya waliohudhuria sherehe hiyo  wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa sherehe hiyo.(PICHA NA MDAU ABDUL SAIBOKO-WUHAN-CHINA)unnamed1 Mdau Abdul Saiboko wa kwanza kutoka kushoto na aadhi ya wadau wa China University of Geosciences (DIDA).  wengine ni  Yazidi, Masanja na Baraka.unnamed2 Baadhi ya wadau wakiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyekiti wa WUTASA Bwana Thomas Mtaki (wa tatu kutoka kushoto).unnamed3Katibu wa WUTASA bwana Mkoko akijaziwa mapochopocho.unnamed4Baadhi ya wadau waliohudhuria.unnamed5Mambo yakawa  mduara kwa kwenda mbele kama inayoonyesha katika picha Mdau Kevin  akiikunja nyonga vilivyo wakati akicheza.unnamed6Mambo ya mduara.​

Comments