Sunday, December 07, 2014

Idris kashinda BBA 2014 na kujinyakulia kitita cha dola 300,000 za Marekani

Mshiriki kutoka Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan.
Mshiriki kutoka Tanzania aliyekuwa akituakilisha  ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan amekaibuka kidedea katika shindano hilo usiku .
Tangu asubuhi Runinga ya DStv kupitia Channel 197 na 198 inayoonyesha moja washiriki 8 waliobakia katika mjengo huo, huku kamera ikimmulika zaidi Idris mara kwa mara jambo linaloashiria huenda Watanzania tulikuwa tumeshashinda.
Fainali za Big Brother ‘hotshots’ zilianza saa 3:00 Usiku huku Idris akiwaongoza wenzake saba ambao ni Tayo (Nigeria), JJ (Zimbabwe), Nhlanha (Afrika Kusini), Sipe (Malawi), Butterfly (Zimbabwe), Ma mbea (Ghana) pamoja na Macky2 wa Zambia.
Idris amerudisha heshima Tanzania kwa kunyakuwa kitita cha dola 300,000 (Sawa na

No comments:

UTAFITI MIAMBA BONDE LA EYASI WEMBERE WATHIBITISHA UWEZEKANO WA UPATIKANAJI MAFUTA

📌 *Dkt Mataragio akagua shughuli za utafiti na kutoa maelekezo kwa TPDC/AGS*  📌 *Awamu ya  pili ya utafiti kukamilika Aprili 2026.*   *📌A...