Monday, December 22, 2014

MERCEDES -BENZ CFAO MOTORS YAKABIDHI MALORI 15 KWA KAMPUNI YA MIZIGO SIGNON

001

Meneja Mauzo wa Maroli ya Marcedes Benz (CFAO MOTORS), Bw Jerome Sentmea (kushoto), akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurungenzi wa Kampuni ya Usafirishaji mizigo (SIGNON), Bw Daniel Kiyan,malori 15 yamekabidhiwa kwa Mkurugenzi huyo kwaajili yakusafirishia mizigo wengine wanaoshuhudia (katikati), Afisa Mauzo wa Cfao Motors Bi Manka Oriyo, na wakwanza kulia Afisa Masoko na Huduma Cfao Motors Bi Angelina Ndege makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya ofsi ya MERCEDES BENZ CFAO MOTORS jijini Dar es Salaam.
002Meneja Mauzo wa Maroli ya Marcedes Benz (CFAO MOTORS), Bw Jerome Sentmea na Mkurungenzi wa Kampuni ya Usafirishaji mizigo (SIGNON), Bw Daniel Kiyan,pamoja na fanyakazi wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi malori hayo.
003Malori yaliokabidhiwa.

No comments:

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya mazungumzo na  Fitch Ratings Ltd  amb...