Skip to main content
RAIS KIKWETE ATETA NA MWANAFUNZI BORA KOZI YA MAAFISA WA JESHI MONDULI
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Adolf Mwamunyange wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa nyumba za maafisa wa jeshi huko Monduli mkoani Arusha jana(picha na Freddy Maro)
Comments