Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya washiriki wa Mkutano kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Watanzania waishio nchini Qatar wakimsiliza Waziri Mkuu wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya washiriki wa Mkutano kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Watanzania waishio nchini Qatar wakimsiliza Waziri Mkuu wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio nchini Qatar, Mzee Said akisoma risala katika mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na watanzania waishio Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya Mawaziri na viongozi mbalimbali wa serikali walioongozana na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kushoto kwake) akizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments