Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na waislamu na Viongozi kumuombea dua Muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma baada ya kumswalia katika Msikiti wa Abdalla Rashid Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi na amezikwa jana kijijini kwao Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja.[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) pamoja na Viongozi na Waislamu wakibeba Jeneza lenye mwili wa Muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma baada ya kumswalia katika Msikiti wa Abdalla Rashid Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi na kwenda kuzikwa kijiji kwao Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja,[Picha IKULU.]Wananchi wakilibeba jeneza lenye mwili wa marehemu muasisi wa CCM marehemu Mzee Juma Ameir Juma aliyefariki jana na kuzikwa kijijini kwao Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliongoza maziko hayo,[Picha IKULU.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Balozi Seif Ali Iddi (katikati) pamoja na Waislamu na Wananchi mbali mbali wakishiriki katika Maziko ya muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma aliyefariki usiku wa kuamkia jana na kuzikwa kijijini kwao Muungoni wilaya ya Kusini Unguja.[Picha IKULU.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma aliyefariki usiku wa kuamkia jana na kuzikwa kijijini kwao Muungoni wilaya ya Kusini Unguja.[Picha IKULU.]Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitia udongo katika kaburi la muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma aliyefariki usiku wa kuamkia jana na kuzikwa kijijini kwao Muungoni wilaya ya Kusini Unguja. [Picha IKULU.]Mjumbe wa Baraza la Wazee wa CCM Haji Machano akisoma wasifu wa muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma baada ya mazishi yake yaliyofanyika leo kijijini kwao Muungoni wilaya ya Kusini Unguja mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha IKULU.]
Comments