TANZIA:Aliekuwa mneguaji wa musiziki wa Bendi Aisha Madinda Afariki Dunia Leo

TANZIA:Aliekuwa mneguaji wa musiziki wa Bendi Aisha Madinda Afariki Dunia Leo

    “Aisha Madinda” amefariki leo hii na mwili wake umeifadhiwa kwenye hospitali ya mwananyamala, jijini Dar-es-salaam.
    Aisha madinda ambae jina lake halisi ni Aisha Mbegu alizaliwa mwaka 1980 katika  Hospitali ya Ocean Road jijini Dar na alipata umaarufu mkuwa kwa uhodari wake wakucheza muziki alipokuwa kwenye  Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’.
    Vile vile Aisha aliwahi kuingia kwenye tasinia hii ya filamu na kuweza kuigiza filamu akiwana watu kama aliekuwa muimbaji TX Moshi William (Marehemu)  pamoja na mcheza soka Boniphace Pawasa.
    Taarifa zaidi juu ya msiba huu tutaendelea kukujuza kadri tuzipatapo.
    Mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema pemoni AMEN. SOURCE : BONGOMOVIES

    Comments