SKYLIGHT BAND INAKUKARIBISHA THAI VILLAGE IJUMAA HII KATIKA MSIMU HUU WA MAPUMZIKO MWEZI DISEMBA

DSC_0001Divas wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya viunga vya Thai Village Masaki wakiongozwa na Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 (katikati), Digna Mbepera (kulia) pamoja na Bela Kombo.
DSC_0016Aneth Kushaba AK47 sambamba na Bela Kombo wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam.
DSC_0025Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo akifanya yake jukwaani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akisindikizwa na Sam Mapenzi (kulia) pamoja na Joniko Flower.
DSC_0186Sam Mapenzi na Sony Masamba wakifanya ya jukwaani huku wakitega kwa ukodak.
DSC_0183Backstage nako walishindwa kujizuia nakuamua kupasha misuli moto huku wengine wakiendelea na kutoa burudani.
DSC_0184
DSC_0026Diva Digna Mbepera akitoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0038Bela Kombo katika hisia kali akiwapa raha wapenzi wa bendi ya Skylight Ijumaa iliyopita ndani ya viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0067

Comments