WIZARA YA KAZI ZANZIBAR KWA KUSHIRIKIANA NA (ILO) YAZINDUA KITABU CHA SHERIA ZA KAZI KATIKA LUGHA NYEPESI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman akizungumza na wageni waalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa kitabu cha sheria za Kazi katika lugha nyepesi katika Hoteli ya Double Tree Shangani Mjini Zanzibar.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman na Mkurugenzi wa (ILO) kanda ya Afrika Aeneas C. Chuma wakizindua kitabu cha sheria za Kazi katika lugha nyepesi, katika Hoteli ya Double Tree Shangani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Comments