Skip to main content

Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!



Habari za uhakika zilizopatikana hivi punde ni kwamba mkuu wa mkoa wa mara John Tupa ameanguka ghafla na kutokwa na povu Wakati akitoka nje ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya (DC) Tarime na kuelekea kupanda gari yake tayari kuanza ziara ya Tarime...

Amekimbizwa hospitali ya Wilaya; lakini taarifa za uhakika ni kuwa AMEFARIKI DUNIA.

Taarifa zaidi zitafuata!

SOURCE:JAMII FORUMS 

Comments