Friday, March 28, 2014

BREAKING NEWZZZ : TRENI YA MIZIGO YAPATA AJALI ENEO LA GODEGODE JIJINI DODOMA.

Picha juu haihusiani kwa lolote na ajali iliyotokea.
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba treni ya mizigo imepata ajali eneo la GodeGode mkoani Dodoma.  Mtu mmoja anasadikiwa kufa huku wengine watano wakiwa hawajulikani walipo. Kwa mujibu wa taarifa zinasema kwamba Treni hiyo ilisombwa na maji kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini. Juhudi za kukinasua kichwa cha treni bado zinaendelea. Kwa habari zaidi na picha tutakuletea hivi punde.
Chanzo : ITV TANZANIA

No comments:

RAIS DKT. MWINYI: TUWALEE VIJANA KATIKA MAADILI, TUDUMISHE AMANI KUELEKEA UCHAGUZI

Zanzibar, 11 Julai 2025 — Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito wa kitaifa kwa ...